09 January 2006

Oprah Winfrey akimsaili Michael Jackson.

 


Pamoja na kuwaletea wasifu wa kina mama mashuhuri katika blogu hii, nitakuwa nikiwaletea pia habari zao wakiwa kazini kila siku kulingana na nitakavyokuwa nikizipata. Kama wote tunavyomjua oprah na mambo yake, nimebahatika kupata mahojiano yake na Michael Jackson yaliyofanyika mwaka 1993, Oprah ndiye mtu wa kwanza kabisa kukubaliwa na Michael kumfanyia mahojiano. Hebu soma hapa umjue kwa undani zaidi mwafrika huyu. Picha hiyo ya Oprah ilipigwa mwaka 1957 akiwa na miaka mitatu tayari alikuwa akijua kusoma na kuandika. Posted by Picasa

2 Comments:

At Thursday, 12 January 2006 at 16:18:00 GMT, Blogger Ndesanjo Macha said...

Maisha ya Maiko yana mambo mengi kweli. Nimependa mahojiano haya yamechimbua mambo kadhaa. Wakati mwingine anatia huruma, wakati mwingine nakuwa simwelewi. Ninamaanisha Maiko na staili yake ya maisha.

Nasubiri siku utuletee Sitti binti Saad

 
At Saturday, 21 January 2006 at 01:30:00 GMT, Blogger Ndesanjo Macha said...

Unatunga sheria nini?

Gazeti wiki ijayo.

 

Post a Comment

<< Home