11 December 2005

NANI ZAIDI??Nimekuwa nikijaribu kuilinganisha miamba hii miwili ili nimpate nani ni zaidi, lakini nimeshindwa kupata jibu. Sasa wasomaji naomba mnisaidie. Siku za nyuma nilipandisha undani wao, lakini kama hukuweza kupata muda wa kuupitia unaweza ukasoma hapa na hapa.

2 Comments:

At Tuesday, 13 December 2005 at 11:03:00 GMT, Anonymous Anonymous said...

Bibie,

Hapa umenibana. Nilipoiona hiyo nani zaidi nikakumbuka hadithi ya kwenye Biblia (Agano la Kale) kati ya Musa (Mwanaharakati) na Haruni (Mwanasiasa).

Mzani wangu umeharibika kwa hiyo siwezi kupima kwa sasa nikiutengeneza nitakupa jibu.

Masalaam,

F MtiMkubwa Tungaraza.

 
At Tuesday, 13 December 2005 at 11:30:00 GMT, Blogger Mija Shija Sayi said...

Fanya hima uutengeneze, taifa linasubiri mchango wako ili liweze kutoa tuzo.

 

Post a Comment

<< Home