31 December 2005

Bi Lucy Kibaki atufungia mwaka.



Nimemchagua Bibi Lucy Kibaki kutufungia mwaka, sijui wenzangu mnasemaje kuhusu uteuzi huu.. kama hamjaridhika msisite kutoa malalamiko yenu. Ndiye huyo katika picha.

3 Comments:

At Monday, 2 January 2006 at 15:45:00 GMT, Anonymous Anonymous said...

Jamani,

Kwa lugha ya Kiingereza wanawake wa namna ya Mama Lucy Kibaki huitwa Virago au Kifini huwaita Pirtti-hirmu. Kwa Kiswahili huitwa nani?

Masalaam,

F MtiMkubwa Tungaraza.

 
At Wednesday, 4 January 2006 at 12:22:00 GMT, Blogger Fikrathabiti said...

Umetumia vigezo gani kumteua mama kibaki!au ni ile tabia yake ya jazba ya kuwazaba waandishi vibao???????

 
At Thursday, 19 January 2006 at 08:37:00 GMT, Blogger FOSEWERD Initiatives said...

huyo ni really damaging director!

 

Post a Comment

<< Home