01 November 2005

Huko Zanzibar Karume kabahatika tena.

Rais Amani Karume wa Tanzania visiwani Zanzibar ameibuka na ushindi wa urais kwa awamu ya pili kwa tiketi ya chama kitukutu cha mapinduzi. Kwa maana hiyo anayo miaka mingine mitano ya kuipeleka tena Zanzibar. Binya hapa upate habari kamili.

1 Comments:

At Tuesday, 1 November 2005 at 18:20:00 GMT, Blogger Jeff Msangi said...

Amebahatika au amejibahatisha? Nadhani hiki ni kitendawili.

 

Post a Comment

<< Home