01 October 2005

Da mija


Foto 92, originally uploaded by mamanganga.

Sema usikike.

10 Comments:

At Saturday, 1 October 2005 at 23:39:00 BST, Anonymous Anonymous said...

New Search Engines Help Users Find Blogs
OTHER FREE FEATURES The Easy Money People Ignore As open-enrollment season dawns, we review the four big excuses that people make for not setting money aside in flexible-spending accounts -- and we find them ...
Hi, I was just blog surfing and found you! If you are interested, go see my children related site. It is special to me and you may still find something of interest.

 
At Sunday, 2 October 2005 at 15:12:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Hebu sema kama huyo ndio Da' Mija. Tuambie wazi tujue.

 
At Sunday, 2 October 2005 at 15:21:00 BST, Blogger Mija Shija Sayi said...

Haswaaa! nimeona nijitundike tusijepitana barabarani.

 
At Monday, 3 October 2005 at 03:29:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Mpenzi, umebadilika! Ningekuona sasa hivi nisingekutambua.

 
At Monday, 3 October 2005 at 13:28:00 BST, Blogger Indya Nkya said...

Nimeshapishana na wewe mara mbili. Sitapishana tena na wewe. Natania. Umefanya vizuri sana kuiweka. Endelea kurusha mawe yasaidie kuvunjavunja fikra mbovu dada lao

 
At Monday, 3 October 2005 at 14:07:00 BST, Anonymous Anonymous said...

jamani!

 
At Tuesday, 11 October 2005 at 14:48:00 BST, Blogger Terrie said...

Duh! dada yangu nakukubali si mchezo ki umri unaonekana mdogo lakini unajua kupanga point na zikamshawishi mtu nakutia moyo mama africa....

 
At Tuesday, 11 October 2005 at 19:58:00 BST, Blogger Mkina said...

Bebe kinehe ule mhola, nahene wabeja
tuyowasiliana bwana yaya okwobisa geko

 
At Monday, 17 October 2005 at 05:45:00 BST, Blogger Ndesanjo Macha said...

Nimepishana nawe mara kumi na sita au kumi na saba hivi, kama sijakosea, pale nyumba ya sanaa!!

 
At Monday, 17 October 2005 at 08:35:00 BST, Anonymous Anonymous said...

ukitaka kujua mtoto wa nani mfinye mbele ya mamake? Endeleeni tu! Atalia mtu sasa hivi!

 

Post a Comment

<< Home