29 September 2005

Juma la kushereheka bagamoyo.

Kila mwaka katika mwezi wa tisa Chuo cha sanaa bagamoyo huandaa tamasha kubwa la sanaa pengine kuzidi yote ambayo hujiri nchini Tanzania. Kipindi hicho ndio kimewadia tena, tamasha hilo lilianza tarehe 27 septemba na litamalizika tarehe 1 Oktoba. Ujumbe wa mwaka huu ni SANAA KWA UTAWALA BORA. Bofya hapa upate undani zaidi wa tamasha hili na habari za chuo kwa ujumla.

3 Comments:

At Thursday, 29 September 2005 at 23:15:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Yahoo! coverage hots up with solo-jo reporter
Posted: 29 September 2005 By: Robert Andrews Email: news@journalism.co.uk Pioneering backpack ... I will report from the field solo, as I often have over the last five years, but will be supported by my 'Mission Control' team based in Santa Monica, California," wrote Mr Sites on his blog .
This is a great blog you have. I have a
amazing internet income type of site
It might surprise you to see how well amazing internet income is
covered there. Stop on over if you get a chance.

 
At Sunday, 2 October 2005 at 15:19:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Sante kwa taarifa hii na kiungo hicho cha chuo.

 
At Monday, 3 October 2005 at 03:35:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Alhamisi niliongea na Aliko Mwakanjuki akaniambia kwamba tamasha limepwaya sana safari hii. Nikaongea na Menard Mponda tukapeana wazo kwamba sisi wahitimu hebu tujivute tukainue shughuli pale mahala kwa kutoa madarasa na workshops za muda mfupi. Mwalimu Chiwalala alikwenda chuoni kutoa madarasa ya muziki na dansi. Vipi upo tayari kuungana nasi? Uko wapi nikupitie wakati wa kwenda kutimiza azma hii?
Fidelis Tungaraza, Helsinki, Finland.

 

Post a Comment

<< Home