Da' Mija na wanawake wa shoka..

11 March 2014

WHATEVER WENT WRONG WITH WINNIE?

›
He stood by his wife, still captivated, when those around him denounced her for violence and treachery. Now, even Nelson Mandela himself has...
27 February 2013

Ayaan Hirsi Ali..

›
Posti yangu iliyopita niliuliza swali la kumtambua mdada kwenye picha, wengi mmepatia, ni dada Ayaan Hirsi Ali, mwanasiasa msomali aliyeamua...
2 comments:
19 August 2012

Da' Mija na Getrude Mongela

›
Licha ya kukutana na marafiki na wanablogu wenzangu, nimeweza pia kukutana na mwanamke wa shoka Mama Gertrude Mongela. Kwa kweli tulikuwa...
8 comments:
10 May 2012

9 Types of intelligence.. wewe uko wapi hapo?

›
Wazazi na walezi, nimeileta mada hii kwenu ili kujikumbusha tu kwamba watu tumeumbwa na vipaji mbalimbali kwa hiyo hata katika watoto wetu t...
4 comments:
23 November 2010

Kazi ya mikono yangu wiki hii....!! Kutoka kwa Da' Mija.

›
2 comments:
01 October 2007

Malkia Nzinga Mbande wa Angola.

›
Nikiwa katika harakati ya kukusanya habari za wanawake waliotia fora duniani, nimeona niirudishe habari hii niliyoiandika hapo nyuma 2005 wa...
8 comments:
16 March 2007

Miriam Makeba

›
Miriam Makeba ni mwanamuziki mashuhuri sana na mwanaharakati kutoka Afrika kusini. Alizaliwa 04-03-1932 Johannesburg. Baba yake Caswell Mpam...
19 November 2006

Shabiki na Ushabiki!

›
Wasomaji wapendwa, habari hii chini inawajia kwa hisani ya mwanablogu MtiMkubwa..... Naam, Hakuna kitu kibaya kama unazi, ushabiki, au umaam...
11 comments:
04 November 2006

Huyu ni nani?

›
26 comments:
22 October 2006

Wangari Muta Maathai.

›
Wangari Muta Maathai, mwanamke mwafrika wa kwanza kushinda Nishani ya amani ya Nobel tangu kuanzishwa kwake mwaka 1900. Mwaka 2004, nilipos...
6 comments:
25 June 2006

Yupi anayepaswa kutolewa bungeni?... anayesinzia kikaoni au aliyevalia??

›
Hapo majuzi nadhani wote tuliipata hii habari ya mbunge Amina Chifupa kutolewa katika kikao cha bunge kutokana na kofia aliyokuwa amevaa amb...
11 comments:
27 May 2006

Graca Simbine Machel.

›
Kuna nchi nyingi sana za Afrika ambazo unaweza kuzungumzia historia zake bila kutaja wake wa viongozi waasisi wa mataifa hayo na bado histor...
4 comments:
08 May 2006

Da' Mija na wanawake wa shoka yafunga mwaka!!

›
Shukrani hoi hoi na vifijo vimuendeee ndugu Ndesanjo Macha popote pale alipo kwani kama si yeye leo hii nisingekuwa naandika haya ninayo yaa...
13 comments:
04 May 2006

Boyz 11 men sasa kiboko!!

›
Haya tena, ahadi ndio zinazidi kumiminwa na uongozi wa awamu ya nne. Hivi majuzi wakati wa sherehe za mei mosi ambapo kitaifa zilifanyikia S...
4 comments:
27 April 2006

Eti siku ya mtu kuzaliwa ni ya nani?..mama au mtoto?

›
Pichani juu ni mimi na kaka yangu na chini ni mzaa chema. Hapo kipindi cha nyuma nilipata kuzua mjadala na mshairi maarufu wa kikundi ch...
11 comments:
›
Home
View web version

About Me

My photo
Mija Shija Sayi
Nimezaliwa niwe mwanamke wa shoka.
View my complete profile
Powered by Blogger.