19 August 2012

Da' Mija na Getrude Mongela


Licha ya kukutana na marafiki na wanablogu wenzangu, nimeweza pia kukutana na mwanamke wa shoka Mama Gertrude Mongela. Kwa kweli tulikuwa na wakati mzuri wa kuongea na kubadilishana mawazo. Nimejifunza mengi sana kutoka kwake...


8 comments:

  1. yaaani mpaka wivuuuuuuuu...Hongera samna dada mkuu msaidizi ila itakapokuwa zamu yangu kuonana na na watu usione wivu..LOL

    ReplyDelete
  2. Kumbe upo bongo, ...oh,sijui utakuwa maeneo gani, maana tuna hamu ya kumuona `mwanamke wa shoka'

    ReplyDelete
  3. Mayowane,

    Una visa wewe!

    Nene Ghuku.

    ReplyDelete
  4. Tupo tupo, mpendwa, tutafute kabla hujaondoka, au ndio umeshaishia majuu!

    ReplyDelete