06 January 2010

Wasichana wametolewa kanisani kwa sababu ya mavazi mafupi, Je unaonaje Pastor yuko sawa au?


Habari hii kwa hisani ya Kaka Mwandani

A preacher in Kiyuni village, Nagojje Sub-county Mukono District threw out of church two girls for alleged indecent dressing. The girls, who were dressed in short, tight fitting clothes, were part of a sizable number of people who had gathered on Saturday for New Year prayers at the Church of Jesus Christ.

But they did not have a chance to go through the prayers after the preacher, Pastor Patrick Sekito, ordered them to go back home and dress up in a manner that befits a place of worship.

The girls, Susan Bako and Harriet Tumusiime, in their early 20s, entered church after prayers had started, and were struggling to look for a place next to the pulpit, when the preacher ordered them out. He said, “Young ladies you are smart, but I think you are in a wrong place. This is a church and not a beach or dancing hall were you dress up in cloths that leave some of your body parts exposed.”

Pastor attacked
He added; “I therefore order you to leave this place and get back to where you came from, put on decently and spare what you are putting on now for the night’’.


The visibly embarrassed girls first resisted but later walked out as other worshipers turned their heads to catch a clear look of them.
The girls then stood outside the church and attacked the pastor calling, him a villager and old fashioned. “We put on similar attire and attend prayers in bigger churches around Kampala, but no pastor has ever embarrassed us like this one has done,” complained Ms Bako

18 comments:

 1. Sina komenti kwa sasa, lakini mh, kumuita pastor a villager!!!!

  Ina maana wat wa kijijini ndo scapegoat ya watu tunaodhani hawajaendelea??

  ReplyDelete
 2. Duh!! kazi ipo kwa hiyo wote inabidi tuwe masista:-)

  ReplyDelete
 3. Pastor yupo sawa...ni KANISA...not a club or beach...again its a CHURCH! Its my opinion anyway

  ReplyDelete
 4. mumeanza kufurushana huko Makanisani eeh? haya, ngoja Mwenyewe aje na kiboko. Mi nipo hapa natizama tu.

  ReplyDelete
 5. Mh si wangeconcetrate na kuwahubiria watu neno la Mungu tu, tatizo la mapastor siku hizi nao wana siasa sana, wanajihusisha na mambo mengine hata hayana umuhimu, entertainment, siasa etc, we hubiri ondoka zako, acha Mungu awahukumu kondoo wake mwenyewe, my opinion!

  ReplyDelete
 6. Kwa mtazamo wangu,huyo si mchungaji mwema kwani kipindi fulani palikuwepo na mchungaji mmoja ambaye alikuwa na kondoo wengi sana maelfu kwa maelfu lakini siku moja katika kuwapeleka malishoni wawili kati ya wale maelfu walipotea lakini yule mchungaji kondoo alikwenda na kuwatafuta wale wawili tu,na kuwarudisha kundini.

  sasa huyu ni mchungaji katika nyanja ya utandawazi na ukoloni mambo leo.

  Selassi I.

  ReplyDelete
 7. Kazi ya pastor sio kuhubiri tu lakini pia kuangalia kama hao kondoo wanafuata vyema mahubiri hayo. Ni jambo lililo wazi kabisa kuwa uvaaji wa nguo zisizo na heshima haufai mbele za Mungu hivyo haupaswi kuruhusiwa kanisani

  ReplyDelete
 8. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 9. ujumbe kwa wadada wote.

  mavazi zenu fulani huwa yanaondoa konsetresheni za mambo mengine. mkitaka kututega tusubirini beach au club. kama mnatutamani kuweni wajasiri na mtwambie tu. msizunguke kwa 'tunguo' twenu. tafazali mtuache watoto wa wanawake wenzenu.

  ReplyDelete
 10. huwezi kuvaa vazi la kuendea Disco au beach kanisani,mie naoa sawa walivyotimuliwa.

  ReplyDelete
 11. Mayowane Mija,

  Unaijua kesi ya mwanamke mmoja anayeitwa Paulina Joseph? Kesi yenyewe ilikuwa ni kuhusu kuvaa nguo fupi. Kesi hii ilitokea jijini Dar es Salaam mwaka 1971. Mama Paulina alikamatwa na polisi yeye na wenzake kwa kosa la kuvaa nguo fupi wakiwa wanaingia New Palace Hotel ambayo siku hizi inajulikana kama Billicanas. Baada ya kukamatwa Bi Paulina na wenzake waliswekwa ndani kwa siku kadhaa kabla ya kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya kuvaa nguo fupi. Wenzake Bi Paulina walikiri kosa la kuvaa nguo fupi lakini Bi Paulina alikana kosa na hivyo kuwa na mashtajka ya kujibu. Hapo ndipo kimbembe kilipoanza. Bi Paulina alikuwa na shahidi yake aliyejulikana kama Bi Mwinyipembe. Waliupelekesha dhoruba upande wa mashtaka mpaka ikawa aibu. Hawa wanawake waligeuka kuwa mashujaa ghafla na walijaza safu za magazeti na hata kuhojiwa na gazeti la Sunday News.

  Tafadhali chimbua kwenye tafiti zako utuletee uhondo wa kesi hii.

  Heri ya mwaka mpya.

  Ni mimi maridhiya,

  F MtiMkubwa.

  ReplyDelete
 12. Wewe Nukta mbona misikitini wanavaa nguo ndefu, lakini kwa kuwa kanisani mnachonga, nadhani Mchungaji yupo sawa. Ni nani atakayekuja na kiboko? Kanisa ni sehemu ya Ibada siyo sehemu ya kuja na mavazi ya ovyo kama unaenda beach bwana. Kama wewe Nukta hupo nje hata sisi tupo nje tunaona watu wakiwa wanavaa mavazi ya heshima on sunday. Mwacheni huyo mchungaji afanye kazi yake.

  ReplyDelete
 13. inawezekana mke wa pastor alikuwa safari kwa muda mrefu

  ReplyDelete
 14. kwa binafsi yangu ,naunga mkono kwa uamuzi wa pastor, kuwafukuza mabinti wale kwa misingi anayo anaijuwa yeye.sisi niwasikilizaji na waambiwaji juu ya tukio hilo,hivyo kwangu mimi siwezi na wala, kuthubutu kuacha kutomuunga mkono baba pastor.sisi waswahil,napenda sana kutumia neno hili! maranyigi husimama upande wa kulaumu bila kujuwa kwanini mtu huyo kaamua hivyo,tukiishi kwa taratibu nibudi tukubali pia kuwa wafuasi wa taratibu hizo.makanisani namisikitini kuna taratibuzake ambazo kwa waumini nibudi zifuatwe,hatakama ni ndogo au kwa jamii ile husika inatofautiana najamii nyingine.hapa nina maana tusiangalie uhuru waliokuwa nao wenzetu wa nchi za mbbali,ulaya na amerika, wakifuata taratibuzao zamaisha tukadhani labda ndiyo bora zaidi kuliko maamuzi ya pastor nikujidanganya sana sana nikujivalisha kinyago usoni huku sehe kubwa ya mwiliwako inaonekana,yaaniyaulaya na amerika yanawafaa wao kwa wakati wao mahalikwao.nasisi wamatumbi tunapokuwa kwetu tufanye yetu, yawen zetu nimazuri kuiga ila kwa kiasi na kwa ufahamu wa hali yajuu ili tusije potoka sana,mavazi nimoja ta vitu nivipendavyo duniani,kwa misingi ya kusema,kuvaa au kula vidudu ,kula pamba,viwalo.nk yote hii nijinsi bina damu anvyo weza kujipamba,tuiheshimu miili yetu,na tutofautisha ku husu uvaaji wetu nguo,wapi nakwa tukio gani na kwa utaratibu gani.sehemu zakumwaga radhi mwaga.za heshima/zingatia heshima,wala pastor hatakufukuza ukizingatia hayo machache.nihayo tu kaka s,

  ReplyDelete
 15. Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.
  tehe!

  ReplyDelete
 16. Ah, kumbe Anon 3:22 AM ulitaka kufikisha ujumbe kuwa unaishi nje? haya, ujumbe ushafika, wanaoishi nje, wanaoishi ndani, alimradi neno kuu ni kuishi, basi yatosha, lakiniii, hii habari ya kuunganishamo Nukta na maneno yaliyochanganyikana uongo si nzuri hata kidogo bwana wewe, ama sijui bibi weye.
  Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza.

  ReplyDelete
 17. Huyo mchungaji amekosea sana, kwa ninavyoelewa mimi kanisa halichagui nani aingie nani asije, huyo ndio ameshawafukuza waumini na sasa amewakosa wao na kizazi chao hakitakuja kanisani.Neno la mungu linasema Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzako, jee mchungaji anauhakika hana kibanzi kwenye jicho lake??

  ReplyDelete
 18. Unajua hekima ya mtu ni mtu mwenyewe. Tupende kujiuliza katika mtendo yetu, kabla ya kutenda. Labda nisitie neno kwanza kwani wengi wametoa hoja za msingi,kwani kwenye wengi mara nyingi hapaharibiki neno!

  ReplyDelete