

Kadri siku zinavyoendelea suala la mapenzi ya watu wa jinsia limekuwa likizidi kupanuka, wapo watu wanalolipinga na kusema ni dhambi na wako wanaosema si dhambi kwa vile watu hao hawakuichagua hali hiyo, wamezaliwa hivyo. Watu hawa ambao hujulikana kwa wanaume kama 'Basha na wasenge', na kwa wanawake 'Wasagaji', wamekuwa wakipigania kukubalika katika jamii na hata kupewa majukumu mbalimbali ya uongozi. Wanataka waongoze nchi, wanataka waongoze makanisa bado sijasikia wanaotaka kuongoza misikiti. Hali imekuwa ni ngumu kwao hasa katika hili la uongozi. Swali langu ni kwamba je wanapaswa kupewa nafasi hizi au hapana? na kama suala ni dhambi je hawa wengine wasio wasenge/wasagaji wao hawana dhambi? au kuna dhambi na dhambi ambazo Mungu anakubaliana nazo? Nisaidieni mwenzenu katika hili.
32 comments:
Ili tuamue kulipiga vita jambo fulani katika jamii ni muhimu kuangalia kama jambo hilo lina madhara aidha kwa mtendaji au kwa wanajamii wengine.baada ya kufikiria kwa muda mrefu bado sijaona madhara ya watu wa jinsia moja kupendana.tatizo linalojitokeza ni kwamba maamuzi juu ya hili huwa yanafanyika kwa kujali hisia.mara nyingi nilipojadili na watu walikosa vigezo vya kupinga swala hili ila walishia kusema ina maana wewe unaweza kuwa shoga,jambo ambalo linadhihirisha kuwa wanapotafakari swala hili hufikiri kuhusu wao binafsi na sio wale wanaohusika hasa na hali hii.nionavyo mimi hakuna sababu ya kuwakataza wapenzi wa jinsia moja kuwa viongozi wa nchi za kidemokrasia,ila katika uongozi wa dini ni tofauti.iwapo maandiko ya dini husika yanakataza basi wale wote wanaoamini hawana budi kuzingatia hilo.katika dini ninayoiamini mimi jambo hili halina hata haja ya kujadiliwa kwa sababu jibu lake ni too obvious,NO.
Da Mija,hongera kwa kuweza kukarabati blogu yako.Karibu sana.
Wengi wetu tukisikia ndoa za jinsia moja tunakimbilia kusema mwisho wa dunia umefika,lakini ndio mwanza wa dunia,niwakati kila mmoja wetu kukumbuka mila na desturi na kuzikumbatia.Pasipo na mila na Desturi wengi tutajikuta tunafanya vitu vya ajabu.Mila ni mwongozo wa maisha na chakula cha maisha.Hebu fikiria kizazi kijacho kitafanya nini kam sisi wenyewe tumeshindwa kukumbatia mila na desturi zetu.
Da mija,kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kuonekana mchana kashika tochi pia vilevile ile tochi kawasha.akaulizwa vipi tena kulikoni mwanga wote huu wa jua bado unatumia tochi.yule mwanafalsafa akajibu na kusema wengi wanaona lakini bado wako gizani.(kama nimekosea nisahihishe)
Dunia sio mbaya bali sisi binadamu tumegueza dunia pakawa sehemu ngumu ya kuishi binadamu.
LEAVE CLEAN AND LET YOUR WORK BE SEEN.JAH BLESS.
Hapo katika msikiti sijasikia anayejitangaza kuwa yeye ni msenge akigombea. Ila kuna rafiki yangu mmoja aliyeniambia kuwa aliistukia sana shughuli hii ikiendeshwa nchi kadhaa zenye misikiti mingi alizopita. Alistushwa lakini akaanza kuhisi hali hii inawezakuwa inatokana na ugumu wa wanaume kukutana na wanawake katika nchi hizi, hivyo wanaume wanajizoelea kupunguzana uzito wao kwa wao.Aliniambia alishuhudia katika mji fulani Pakistani karibu na mpaka na afghanistani mwanamke akipigwa mpaka akafa kutokana na kitendo.Ila mwanaume aliyehusika alitembezwa uchi tu katikati ya mji.Ingawa mwanamume hakuuawa, adhabu kama hizi huogopesha wanaume wengi.Hivyo wanaamua kusaidiana wakizidiwa.Alishuhudia matendo haya katika hata familia zenye kushikilia dini kubwa kuliko. Lakini nafikiri wanawake wote kwa ujumla sidhani kama wanaruhusiwa kuwa viongozi wa misikiti.
Zemarcopolo, Luihamu na Kitururu mmesema kweli. Sikuwahi kufikiria kama wanaume au wanawake wanaweza kuamua kusaidiana wenyewe kwa wenyewe kutokana na ugumu wa upatikanaji wa mwanamke au mwanaume.
Da Mija blogu inapendeza kweli lakini mada hii nyeti mno. Bado natafakari.
Kazi nzuri,
/Maggid
Da Mija
Mimi binafsi ninapinga kabisa suala hili la ushoga wa mwanaume kwa mwanaume na mwanamke kwa mwanamke. Hainiingii akilini kuwa mtu anajihisi kuwa shoga.
Sababu yangu kuu kuwa tendo lenyewe siyo natural. Kazi ya mkundu ni kutoa kinyesi, siyo kuingiza uume. Kazi za kuma ni kuingiza uume, kuzaa na kupata burudani ambayo haina maelezo. Hivyo, tukiacha hoja ya tendo hilo kuwa dhambi, basi hoja kuu ni kuwa tabia/hulka hiyo siyo natural kabisa. Samahani kwa kutumia lugha kali hapo juu, lakini nimekosa tafsida (euphemism words).
Kuhusu wale wanaodai kuwa wanajihisi kuwa wamezaliwa hivyo, basi waelewe kuwa hizo ni hisia walizojijengea kwenye akili zao tu. Tabia/hulka hizo ni sawasawa na mtu ambaye amejijengea kuwa bila kuvuta bangi au kubwia unga basi hajisikii raha kabisa au hawezi kufanya jambo lolote la maana. Je, watu wa aina hii nao tuwahalalishie vitendo vyao? Kuna watu ambao wanatoka katika familia zenye uwezo lakini utakuta wana kajitabia ka kuiba, yaani wasipoiba hawajisikii raha, je tuwaache tu waendelee na tabia hizi ambazo ni unnatural?
Jamani, in ushenzi kudai eti wewe unajisikia kufirwa (dume lenzako kukuingizia mboo yake kwenye mkundu wako!! kichefuchefu) This can't be. Kwa hiyo, tukiruhusu mashoga duniani basi tuwe tayari kuhalalisha watumiaji dawa za kulevya, wezi wanaojisikia kuiba kwa sababu ya hamu ya kuiba, makahaba ambao ni hobby yao kutombwa na mtu kibao kila siku, watu wanaotaka kujilimbikizia mali kwa njia zisizo halali, ndio, si wanajisikia kuwa hivyo?
Hii ni hulka ambayo wenye nayo hawana budi kuifutilia mbali katika vichwa vyao. Wanaweza kudhibiti hali hiyo bila shida kabisa.
Mashoga? Hapana, hawakubaliki hata bila kutumia Biblia na Kurani au kitabu kingine chochote kile kitukufu. Kwamba kuna watu walio na tabia hizo basi ihalalishwe, mbona kuna wezi pia katika jamii zote, basi iwe halali kuiba! Iwe halali kuvuta bangi ili Tibaigana na wenzake wasihangaike na watu wa namna hii.
Hulka hizi zisipewe nafasi katika jamii yoyote ile duniani. Nashangaa sana baadhi ya nchi Ulaya zimekubali hoja za kijinga na kuruhusu hali hiyo.
Rafiki yangu, kama wewe ni shoga, yaani unatombwa na dume lenzako au unasagana na jike lenzako kumbuka kuwa unayo nafasi ya kujibadilisha na kuwa mtu safi, mtu anayedhibiti hulka zake. Unaweza kuwa mtu bora, mtu anayezimudu vyema hisia zake.
Kila la kheri.
Duh!Mjadala mzito sana huu.Lakini kwa ufupi naweza kukubaliana na anyonymous hapo juu katika mengi aliyoyasema hususani katika "kulea maradhi".Ila kwa ujumla mada hii ni ngumu na wakati mwingine inahitaji moyo kuizungumzia.Tuendelee
Jeff mimi nina mawazo tofauti kidogo.mada hii sidhani kama ni ngumu ila hii ni maada professional ndio maana walio kwenye proffesion hawapati shida kuielewa.labda kabla hatujaamua kama haya ni maradhi au la tujiulize je maradhi ni kitu gani?au tunaweza kujiuliza kwa kinyumekinyume,kinyume cha maradhi ni afya njema.je afya njema ni nini?
anony wa 03.05, kweli umekasirika! nakubaliana kabisa na pointi zako pamoja na uamuzi wako wa kuamua kuita beleshi, beleshi!
binadamu anapaswa kudhibiti hisia zake na sio hisia zimdhibiti yeye...!
Zemarcopolo napenda kutofautiana na wewe unaposema hii ni mada professional (labda niwesijakuelewa unaposema professional una maanisha nini, labda ufafanue),Hii maada nadhani inajadilika ila tatizo ninaloona sasa nikuwa wengi wa wale wanaopiga hiki Kitendo mara nyingi wanakuwa wanaonekana kama watu wa ajabu (hasa sehemu za Ulaya na Amerika)Nadhani(nina guess jamani) Kuwa anony 03.05 anaweza kuwa anajina lakiblogu ila kwa kukwepa kuwa labeled as anti... akaamua kupitisha mawazo kama anony.
Nauliza hivi katika jamii ya wanyama (kuondoa Binadamu) wapo ambao wanageuzana wenyewe kwa wenyewe? Hili swali tu?
Mimi binafsi siwezi kumtaka mwanaume mwenzangu, ila anapotokea mtu akakutakana na mwanaume mwenzake au mwanamke mwenzake, wakapendana, wakaridhishana, sioni haki ya kuwataka waache au kuwakosoa inatoka wapi.
Mtoa maoni kasema kuwa wanaume wanawezaje kutumia sehemu ya kinyesi kwa ajili ya ngono. Swali je mwanaume kwa mwanamke mbona wanatumia sehemu ya mkojo?
Kuhusu wanyama, binadamu kama mnyama ni tofauti na wanyama wengine wote. Wanyama walio wengi wanafanya sex for procreation. Mwanadamu (na nadhani mnyama mwingine mmoja, sikumbuki jina lake)anafanya sex both for recreation and procreation. Hata hivi, tungesema tuige wanyama sijui kama binadamu tunaweza kwa kiasi kikubwa. Tazama, mnyama anaua mnyama wa kundi jengine ili kujitafutia riziki (kwa kumla mnyama huyo), mara nyingine wanyama wanagombana kwa sababu mbalimbali kama vile kupigania bibi au riziki. Binadamu ndiye mnyama pekee (almost) anayeua binadamu mwenzake kwa visababu vingi visivyo na msingi (Mzee Kichaka wa US na vita vyake kule Iraq, mfano). Hii si halali, katika nyanja hii binadamu yuko nyuma sana kulinganishwa na wanyama.
Ama kuhusu mwanaume kupenyeza uume sehemu ya mkojo: hilo ni tendo lililo natural na hiyo ndiyo njia natural ya kufanyia tendo hilo. Vile vile hebu fanya utafiti zaidi kidogo kuhusu uke, mkojo unapita wapi na uke unaruhusuje uume kuingia. Utashangaa sana kwa yale utakayojifunza huko.
Tukubaliane tu kuwa vitendo vya kishoga si natural, na kwa kuwa si natural havina nafasi kabisa ya kuruhusiwa kuwa matendo halali. Na tukiruhusu vitendo hivyo basi tutakabiliwa na mlolongo wa vitendo vingine kibao ambavyo si natural na wale wanaojisikia kuvitenda watatuambia kuwa ni haki yao kuwa wanajisikia hivyo.
Do, lo salaaleh! Yaani, njemba nzima inadai kuwa inajisikia mtu kuipanda?!!!!?? Haiwezekani, mtu wa namna hii ana ugonjwa kwenye ubongo wake na hatuna budi kumtafutia tiba ili aondokane na ugonjwa huu. Ugonjwa unatibika.
Tumwombe Born Again Pagan atushushie jinsi Human Thinking Facaulties zinavyofanya kazi.
Tuendelee na mjadala.
Hii ni kwa Ndesanjo.
Nimefanikiwa kupata gazeti la mwananchi la tarehe 11/3/2007.
Umezungumzia mapinduzi,mapinduzi ya kiakili,mazingira,uvivu na kadhalika.Katika makala yako umezungumzia ni jinsi gani binadamu anaweza kuacha imani potofu na kuwafundisha vijana jinsi ya kuamka kiakili.
Sasa basi katika mada hii ya Da mija umenishangaza kwa kusupport wale wawili wa jinsia moja kufunga ndoa.Nanukuu uliyoandika hapo kwa Damija.
(ila anapotokea mtu akakutakana na mwanaume mwenzake au mwanamke mwenzake, wakapendana, wakaridhishana, sioni haki ya kuwataka waache au kuwakosoa inatoka wapi).
Ndesanjo ni kweli ununga mkono au unatania?Jah Rastafarian.
Ndambuli,niliposema hili ni jambo professional nilikuwa nawajibu wale wanaosema kuwa huu ni ugonjwa na wale waliosema kwamba swala hili gumu kulitolea uamuzi(iwapo ni ugonjwa au la).katika nternationa Classification Of Diseases(ICD 10) magonjwa ya akili yako katika category F.Hapa homosexuality haijaandikwa katika magonjwa ya sexual behaviour.sababu yake sio ngumu kuielewa,inatokana na definition ya ugonjwa.WHO inadefine afya njema kama state of biological,social and psychological wellbeing.ugonjwa ni kinyume cha hivyo.kwa definition hii ya ugonjwa sidhani kama ni vigumu kuelewa kuwa homosexuality,according to internationally accepted definition ya ugonjwa,sio ugonjwa unless anayeamua kuwa huu ni ugonjwa anatumia definition tofauti na hii ambayo itakuwa vyema iwapo atatuwekea bayana ni ipi.Ndesanjo ameelezea vizuri na kufafanua zaidi nitatoa mfano huu kwa njia ya swali:miaka ya 90 kuna waumini wa kiislam wa dar es salaam walipita mitaani na kuvunja mabucha ya nguruwe.wao waliamini kuwa nyama ya nguruwe haipaswi kuuzwa katika mazingira wanayoishi na wangetaka ipigwe marufuku nchini.je kuna anayedhani kuwa ni sahihi kupiga marufuku kuuzwa nyama ya nguruwe Tanzania?
Duh! aisee hivi.......
Tuendeleze mjadala!
Luihamu:
swali langu lakini umelielewa? Nimeuliza, haki hiyo ya kuwaambia wanawake/wanaume wawili walipendana kuwa waache kupendana unaipata wapi?
Zemarcopolo
Asante kwa ufafanuzi, hata hivyo, bado hauondoi ukweli kuwa ushoga ni tatizo, tatizo hilo uliite ugonjwa kwa vigezo vya WHO au la bado ni tatizo. Na, tatizo hilo chimbuko lake ni kwenye akili (psyche) hivyo ni tatizo la kisaikolojia na vilevile ni tatizo la kijamii. Mataifa mengi ya Magharibi yamepitisha suala la ushoga. Sishangai kwamba WHO ambayo kwa kweli ni chombo kitiifu cha mataifa ya magharibi hakikuweka kwenye orodha yake ya magonjwa ya akili tatizo hilo la ushoga. Si ajabu kuwa hata kamati iliyotengeneza orodha hiyo kuna mashoga miongoni mwao. Unategemea watasema kuwa huo ni ugonjwa? Unatarajia wajitangaze wao kuwa ni mazuzu au mazezeta? Sidhani. Mataifa hayo ndiyo yanayotoa mapesa bwelele kwa ajili ya uendeshaji wa mashirika ya Umoja wa Mataifa. Miongoni mwa viongozi waandamizi wa mataifa hayo wapo mashoga. Ikiwa WHO inataka ikaukiwe fedha kwenye mifuko yake basi itangaze kuwa ushoga ni ugonjwa (tena wa akili).
Kwa hiyo, ushoga ni tatizo. Ni tatizo linalodhibitika. Wenye tatizo hilo wanaweza kabisa kulishinda kama ambavyo mtu mwenye akili zake timamu anavyoweza kuidhibiti hali yoyote katika mwili wake kwa kujipa discipline. Hivyo, mimi nazidi kuwatia moyo nikisema kuwa wenye tatizo hilo wajitahidi wabadilike haraka. Kubadilika kunawezekana. Awaken that sleeping giant within you. You can change! Acha kuwasilikiliza akina Sir Elton John! Usikubali kuwa ubwabwa!!
Mzee ndesanjo nimekusoma samahani kwa kuelewa vibaya.
Da Mija tembelea hii blogu
www.saharanvibe.blogspot(siunajuwa mambo mazuri lazima nikwambie sister dread)
Luihamu nimeitembelea hiyo blogu, kwa kweli inapendeza, asante kwa kunishtua.
I beg to differ. Mimi sioni tatizo ni nini.I dont think homosexuality is sin and dont see why homosexuals should be treated as THE OTHERS. They have the same rights as everyone out there. I am a woman and been with in love with both men and women. People cant help who they fall in love with. Life is too short to grind people down. DONT HATE LET THEM BE. By the way samahani kwa kuchanga lugha. My swahili isnt very good. I can understand what people are saying but find it difficult to explain myself in swahili. Hope apology is accepted.
mnashangaa shangaa nini
kashangae huku
http://videozamatusi.blogspot.com/
Kuna wakati napenda kusema mwizi aitwe 'mwizi' na Mkristu aitwe 'mkristu'. lakini swali linakuja, ni nini kinamfanya mwizi awe mwizi na mkristu awe mkristu?. je ni suala la jina au tabia, kama ni tabia je ni tabia ipi ndio inafaa kukubadilisha jina toka kuwa damija hadi kukupelekea kuwa na second name? au ni kwa kiwango gani?
je mtu akiiba mara moja yatosha aitwe mwizi, na mtu akienda kanisani mara moja inaosha aitwe mkristu?. Sina majibu ya maswali hayo bali nawaachia wataalamu wa lugha na falsafa.
Tuturudi kwa 'mashoga' na 'wasagaji'. Ulimwengu huwaita mashoga au wasagaji, je wao hujiitaje?.
Kama wao wamekubali kuwa wao ni mashoga au wasagaji, basi ni dhahiri hivyo sivyo walivyo. wanaofanya mapenzi ya kawaida hawana majina mbadala, kwa nini hawa wakubali kuitwa shoga/msagaji. kwa maana hiyo wao wenyewe wanajijua kuwa sio wakawaida. kumbe turudi kwenye ajenda na kujiuliza 'kawaida' ni nini? kama umezaliwa kipofu hutajua kuwa wewe ni kipofu kwa vile hujui kuona kunafananaje. je hao wamezaliwa hivyo? basi wasingejua kuwa wao ni mashoga au wasagaji, kumbe hawakuwa hivyo, bali wao wenyewe au ulimwengu ndio umewafanya hivyo nao wamekubali. hapo ndipo tunapokwenda kubaini kuwa hawakuwa hivyo tangu awali bali wame-adopt on the way.
Sasa Mija nikujibu swali lako, je tuwape uongozi?
tuanze na tafsiri rahisi ya kiongozi;
Nitaanza na kusema kiongozi ni mwenzetu, katoka kwetu, na ni kwa ajili yetu. kwa hiyo hapa kiongozi lazima afanane na sisi.
Pili, atatwaa katika yaliyo yangu na kuwaleteeni ninyi; maana yake atawakuwa mediator kati ya hairakia ya juu na ya chini, hapa maana yake awe anakubalika pande zote.
tatu, awe true representative wa majority, ndio maana tunawapigia kura, vinginevyo tutamuita dictator.
Mjadala huu ni mrefu sana lakini kwa vile speed ya kuchapa sio kubwa kiasi hicho, nashindwa kuchangia kwa mapana.
kwa hiyo sio sawa kuwapa uongozi kwa vile they are not true to themselves, we can't be sure they will be true to us, pili they do'nt represent us, third, hawatoi kutoka kwa mwenyezi na kutuletea sisi. hatimaye, hatujawajua bado; kama wameweza kuwa influenced na ujinga wa ulimwengu huu wakabadilika jee watatuletea madhara kiasi gani sie tukiwapa uongozi maana hapo kutakuwa na influence nyingi zaidi kutoka ulimwengu mzima na wao hawana stability na hekima ya kuchuja mema na mabaya.
Kwa sasa watafute kima wawafanyie mazoezi ya uongozi kabla ya kutaka kuwatawala watu. ndio majaribio ya kisayansi yanavyofanyika.
Da Mija, nakupa stori ya siri, Mh, katika kutafuta raha gani wanaume wanapata kuingiziwa nyuma, nilikuwa bafuni nikajiingiza kidole nyuma, mh kinyesi mama, nikaghafirika, baadae nikarudia tena, niligusa sehemu (nadhani ni g-spot), nikasimamisha ghafla, then nikaona natokwa na semen. Nikakumbuka wanaokusanya mbegu toka kwa ng'ombe dume wanaingiza proder nyuma (tafsida) na mbegu zinatoka. Nilisema naweza endelea kupenda mchezo huo, nikasali Mungu aniepushe, sijarudia tena maana niligundua kuna ki raha fulani and then naweza endekeza kitu ambacho ni kinyume kabisa cha utu wangu na maadili yangu. nimeoa na nna watoto 3.
Iwe dhambi isiwe dhambi, mkisha bishana pumzikeni kwa kukaguwa Mikundu na matako ya kila kabila kwa Mzee Mikundu:
http://mikundu.blogspot.com/
http://mikundu.blogspot.com/
http://mikundu.blogspot.com/
MAMBO NIJA?
I think people need to get knowledge on sexual orientation!tatizo li wapi kwa hawa watu wanapendana? kama ni kuzaa wapo hata heterosexuals wasio zaa, kama ni kuachana hata heterosexual wana under go divorce, katika haki za binadamu hamna sheria inayosema mtu awe discriminated on the basis of his/her sexual orientation, sio hivyo tu hata Gender haipo hiyo sheria, so sijui tatizo ni nini kwa wanaopinga, after all ni issue zao kwa nini tuziingilie? wana haki zote kama raia wengine.
Aah! haya yote ni matokeo ya kiburi cha mwanadamu kwa muumba wake, siku hizi ukionekana unawashangaa jamaa kama hawa na wewe watu wanakushangaa vilevile. Waafrika lazima tujitambue na tukubali ukweli kwamba tunapaswa kuwa na mambo yetu kando ya upuuzi utokao ughaibuni,amasivyo nasisi tutatumbukia katika uoza utoka magharibi. Najua wapo walokwishaingia humo lakini wanajificha wakiwa Afrika- Mlewa.
Anaye taka kuwa msenge shauri yake. Lakini kicha la wazi ni kwambo, mkundi haifai kufirwa kwa sababu ni mahali pa kutowa mavi.
Unajua Da Mija hata Biblia inasema mtu akishupaza shingo itavunjika ghafla wala hatapata dawa.Sasa haya mambo kimsingi kabisa pamoja na mambo mengine ndiyo ambayo yalifanya Sodoma na Gomora ikaangamizwa,Sasa nasema adhaniaye ya kuwa amesimama na aangalie asianguke,Dhambi si fasheni wala hakuna dhambi mpya.Jamii lazima ijue imetoka wapi na inkwenda wapi?Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye sikio haambiwi sikia.Thanx
Wasiojua wanasema hivyo lakini ukweli wa mambo ni kuwa usagaji una raha yake, ambayo inapatikana kwa kusagana tu. Nasema hivi kwa kuwa mimi ni mmoja wapo tena proud lesbian, tusidanganyane hapa kuna wanawake wengi sana wanaingiliwa kinyume na wanasema wanafurahia sana na starehe ya kuingiliwa kinyume ni tofauti kabisa na ya mbele. Na wasgaji ni hivyo hivyo. Kusagwa na kuswagwa kuna radha tofauti kabisa na kukutana na mwanaume. Mnaonsema biblia inakata siwabishii, lakini kwa sisi tuliozaliwa hivi na tulioumbwa hivi Mungu anajua kuwa na sisi ni biandamu tuna haki.
Josephine Liumba-Proud Lesbian
Aaah jo Liumba nakupenda mpenz wangu.
Neema A...rd
Post a Comment