07 March 2006

Anaishi Royal Palm Hotel....


Hii habari amenisukumia Kaka yangu mkubwa 'MtiMkubwa' kwa vile ni nyeti sana nimeona nami niisukume kwa wananchi wazalendo wenzangu ili tuweze kuijadili kwa kina, haya tuendelee jamani...


Naam,

Tanzania ni nchi yenye miujiza anuai. Tuna miujiza ya kiasili kama vile Ngorongoro, Mlima Kilimanjaro, Ziwa Tanganyika na mengineyo. Pia tumejaaliwa kuzua miujiza ambayo yaweza kumstaajabisha hata mtoto mchanga aliyezaliwa leo. Moja ya miujiza hiyo ni ule wa kuuza mali za umma zilizoimarishwa kwa mtaji wa umma wa Watanzania masikini. Mojawapo ya mali za umma zilizouzwa na serikali ya awamu ya tatu ni majumba ya serikali yakiwemo ya mawaziri.

Mengi ya majumba hayo yaliyouzwa ni sehemu kubwa ya historia ya nchi yetu. Kwani majumba hayo yalijengwa na wakoloni wa Kijerumani kabla ya kujiingiza "mdhamini" wa Kiingereza mwaka 1948. Kinachofuatia baada ya kuuzwa au kuuziana majumba hayo "maswahiba" wa serikali ya awamu ya tatu ni kwamba baaadhi ya mawaziri serikali ya nne wamepangiwa kuishi mahotelini makubwa kama wafanyabiashara au watalii. Humo mahotelini wanakula vipsi na kuku, wanaogelea kwenye maswimingi puli, wanaletewa rumu sevisi, na gharama zinginezo nyingi na kubwa!

Nimepungukiwa na ya kuandika lakini naomba usichoke kusoma maelezo zaidi hapo chini:


Uproar over Tanzania's hotel ministers
By Vicky Ntetema
BBC News, Dar es Salaam


Many Tanzanians are outraged by the revelation that dozens of ministers have been staying in luxury hotels since the beginning of the year at the taxpayers' expense.

The Courtyard is popular with tourists at more than $109 a night
All ministers are supposed to be given subsidised housing but the new ministerial homes have not been completed after the existing buildings were sold off to civil servants by the former government.
So some of those named since President Jakaya Kikwete took office last December have been staying in hotels, at a cost of hundreds of thousands of dollars a month.
This expense has been strongly criticised at a time when more than 3m people are on the verge of starvation due to prolonged droughts.
The newcomers into cabinet were given until the end of February to vacate their hotel rooms or pay the bills from their own pockets.
Yet the government has admitted that 36 ministers and their deputies, who come from outside Tanzania's commercial capital, Dar es Salaam, have not yet been re-housed.
Walking distance
Although the government does not want to reveal the exact names of these temporary dwellings, it is an open secret that some of them stay in expensive hotels which cater for top class tourists and international executive high fliers.

It's like home - we serve international cuisine and there is no doubt that security is very high

The Courtyard's Abysai Mashambo
One of these is The Courtyard in one of the upmarket areas of the commercial city of Dar es Salaam, within walking distance of most ministerial office buildings and State House.
Rates for rooms at this five-star hotel range from $109 to $189 per night.
The Courtyard's spokesperson Abysai Mashambo says ministers like this costly hotel for many reasons.
"It's a very quiet place - it's like a home; it's not very far from the city centre; we serve international cuisine - continental, Indian, African and there is no doubt that security is very high," he says.
"The ministers take rooms which suit the budget of the government - because the government pays for them. They don't pay from their pockets."
Not all ministers enjoy the comfort of such luxurious hotels.
At least two deputy ministers are accommodated at the three-star Landmark Hotel, about 7km (four miles) from Dar es Salaam city centre, in the overcrowded Ubungo area.
Most local residents whose houses are dwarfed by this five-storey hotel are either unemployed or have low-paid jobs.
Here the rooms cost about $40 to $60 per night.
Baffled
The scheme to build government quarters started last year under the leadership of retired President Benjamin Mkapa, after most official homes were sold off to civil servants, including ministers, at what were seen as give-away prices.

These houses for ministers and deputy ministers will not be sold

Minister Juma Akukweti
The policy was unpopular and authorities blamed for what many saw as a misuse of public funds.
Many were then baffled by the government's decision to spend taxpayers' money on hotel bills for new appointees, leaving retired civil servants in the affordable state accommodation.
The ministry of infrastructure development last month reassured Tanzanians that ministers would move into their new homes by the end of February.
John Kijazi, the ministry's most senior civil servant, says that the delay has been caused by the construction hitches encountered at the start of building.
He said he could not put a figure on how much the taxpayers will have to cough up to foot the hotel bills until every single minister had moved into their new homes.
Rubble
Builders at the Msasani Peninsula on the outskirts of Dar es Salaam are working tirelessly to complete the finishing touches on some bungalows - the official residences for cabinet members.

The houses will have servants' quarters and large gardens
But one minister and his wife could not wait any longer and have moved in amid the rubble.
I found Minister of state in the prime minister's office in charge of Coordination and Parliamentary Affairs Juma Akukweti and his wife inspecting their three-bedroom house close to the Indian Ocean beach.
"I am quite comfortable. I like the house - the rooms are quite spacious. I have a big family, as an African that's usual. This is enough for my family," he said.
He promised that these newly constructed houses with servant's quarters and spacious back and front yards - some as big as a football pitch - would not be sold off to ministers in 10 year's time.
"These houses for ministers and deputy ministers will not be sold. If one wants to buy a house - ask from a bank. But these ones are not for sale. And that's okay."
With this assurance, I left the happy minister and his family to settle into his new house.




18 Comments:

At Wednesday 8 March 2006 at 22:16:00 GMT, Blogger John Mwaipopo said...

Mija haya ndiyo mauzauza. Hebu fikira wewe Mija leo wauza kitu unachokitumia-ga kila uchao kwa mtu uliyemwazima (mathalani kompyuta)tena kwa bei chee.Halafu kesho ukitaka kublogu waenda ku-internet.

Halafu wataka tunaokufahamu tukupigie makofii. Hii ndio serikali tuliyokuwa nayo kabla ya Desemba Mwaka jana. Sitii chumvi kwani makala yako yajieleza. It was a bunch of thieves and nicompoops.

Kama serikali iliona biashara ya nyumba inalipa kwa nini isijenge majumba huko Kinyerezi, Pugu, Kibulugwa na kwingineko na ikaziuza. Au kwa nini wasibomoe mitaa isiyokuwa na mpango Dar na kujenga apartments za kisasa na kuwauzia wananchi wa kipato cha chini. Wanajiuzia nyumba nzuri tu.

Kuna mtu moja aliniambia si vema kuuza mali ya urithi. It's like a token. Ukiiuza unalaaniwa. Ndio haya sasa yamewakumba. Laana haijachukua muda mrefu. Sasa walazimika kuchukua vipesa ambavyo vingetumika kununua chakula kupelekea wananchi wa Singida na kwingineko ama kujenga barabara walau ya kokoto kwenda kule kijijini Kajunjumele Kyela.

Laana hii itawatafuna hata washangae.

 
At Thursday 9 March 2006 at 14:09:00 GMT, Anonymous Anonymous said...

Mimi nasubiri siku ambayo viongozi wetu watawajibishana au kukubali kufanya makosa badala ya kukamata samaki wadogo (kama askari wanaohukumiwa kwa kuua) kutufanya tuamini kuwa hawana utani. Serikali ambayo ina wananchi waliokumbwa na baa la njaa, matatizo ya umeme, ukame, n.k. wakati huo huo inatumia fedha za wananchi kuweka viongozi kwenye hoteli za kifahari kama vile ni watalii kwenye nchi yao ni serikali ambayo ina maswali mengi sana ya kujibu.

 
At Friday 10 March 2006 at 17:09:00 GMT, Blogger Jeff Msangi said...

Kama kuna suala ambalo sitokaa nlielewe wala kulikubali basi ni suala la viongozi wetu kuuziana zilizokuwa nyumba za serikali.Matumizi yasiyo ya lazima kama haya ya kuwekana Courtyard yanatia hasira kwa kweli.Hapa ndipo ninapotaka kuwa mhogo mchungu na kuona kwamba JK hana jipya.Kuna kiinimacho fulani tu hivi sasa kinatembea kama vile popobawa enzi zile.Ubadhirifu wa majuzi kwenye balozi,msimamo wa nyumba za serikali,rushwa maeneo yaliyotajwa na Warioba,vyeo vya kupeana kindugu,yote haya yanakwendaje?

 
At Friday 10 March 2006 at 19:12:00 GMT, Anonymous Anonymous said...

Watu wanaposhinda kwa asilimia 80, tunategemea nini? Haiyumkiniki matatizo haya yalianza wakati wa bunge lililopita kwa kuidhinisha miswaada ya ajabu ajabu kama huo wa kuuziana nyumba. Ajabu ni kuwa Watanzania hilo likatufurahisha natukaamua tena wabunge walewale warudi kwa sababu ya kazi zao nzuri!! Kwa hiyo bandugu, hili kwa Wabongo si tatizo ni mwendo mdundo tu. Ukiwaambia kodi yao inatafunwa watakushangaa maana wao wanafahamu kodi ni ile ya kichwa tu, bila kujua hata wakinunua chumvi wanalipa kodi.

 
At Saturday 11 March 2006 at 09:40:00 GMT, Blogger FOSEWERD Initiatives said...

Naam kazi imeanza, kwenda mbele hatua moja kurudi nyuma mbili!. tukianza kwa bwana Ndesanjo, ni kweli kiinimacho cha kuwashtaki samaki vibua kwa kuchafua "kutikisa bahari" na kumwacha nyangumi bado ni kiinimacho. hawa polisi wadogo wanaonewa tu, kwani walikuwa wanatekeleza maagizo!

hii sera ya kuuziana nyumba na kwenda kujenga nyengine!!! kuna wagombea walisema wakiingia ikulu lazima tu zitarudi. kidogo nilikuwa niizungumzie pale kwenye ishu ya noma la ubalozini! naona kama vile hili litajirudia tena, maana kama mawaziri wanawekwa jirani jirani, haiyumkini basi baada ya miaka kumi ijayo wakatamani kuwa majirani wa kudumu ili kuendeleza mshikamano miongoni mwa familia zao kama alivyonukuliwa Akukweti - na ilivyotekelezwa o'bay! ni bahati iliyoje kuwa na kibanda mitaa ya Peninsula kwani gharama ya kiwanja chenyewe maeneo hayo inajulikana!

hata hivyo, ni tatizo kuwa katika nchi moja kuna sera inayofanya kazi kwa watu fulani na haifanyi kwa wengine! - ndio maana nawapenda hawa wenzetu japo afrika lakini wameamua kuwa na nidhamu. unapopata kazi hata kama umetoka chuoni leo, una uwezo kabisa wa kukopa nyumba na gari ili vikusaidie kupambana na maisha yako! na taratibu hizi hufanywa kibank hadi pale mtu anapomaliza kulipa. jambo ambalo mimi binafsi huwa ninalifurahia zaidi. je ni wangapi tumeona wanatumikia taifa kwa bidii wanarushwa nje ya vinyumba vya serekali / walivyopangiwa siku chache baada ya kustaafu? igizo hili nalifananisha na lile lililomkuta Banza Stone kupewa gari na nyumba mbezi na Joni Komba, na kurushwa nje siku alipowatosa TOT.

ninaposema haya sina maana kuwa naunga mkono uuzaji huo, ila lazima tufike mahala sera ziwe wazi na ziwaguse watanzania wote (rejea hoja ya Mwaipopo). maana kama mkuki ni mkuki tu! - kama waheshimiwa waliuona mkuki na wakajua ni mchungu, kwa nini basi waliharakisha kujiuzia kabla ya kumaliza awamu yao? wakati ninarejea umahututi wa NHC nikaona eti wanawadai wapangaji jumla ya Bn 2! kiwango ambacho profesa kazamisha kwenye akaunti yake ufaransa!!

nilitoa mchango mahala kuwa ukichunguza sana nyuma ya dhana ya kupigania uhuru (japo sikashifu), ilikuwa ni kutafuta mazingira ambayo tutaishi bila nidhamu (ugonjwa wetu - hasa weusi)! kula matunda ya uhuru maana yake ni kula kila kilichopo bila kuhakikisha kinaongezeka! NHC ilikuwa na ndoto nzuri sana za kuongeza makazi kwa watanzania wake (lakini kodi hazilipwi, zikilipwa zinaliwa, dola ikipanda chati, wataalamu wao hawarejei thamani - watu wanalipa kodi za ajabu sana ambazo hata ukipanga chumba inazidi mara nyingi tu!) - mashirika ya usafiri yanakufa (kama hutozi nauli, kama hufanyi matengenezo ya mara kwa mara, kama unakula kila kitu, yaani kama ni ng'ombe wa maziwa hata majani humpi!, kama faida haionekani - kwani ni nani asiyejua kuwa kuna siku litakufa?) Mashirika ya usafiri, mashirika ya biashara!! kwaKWELI KAMA ISINGEKUWA HII DHANA YA KUWA MTAWALA ILI KUISHI BILA NIDHAMU (KUWA AUDITED) TANZANIA ILIFANYA MAMBO SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI!!!NA ILE NDOTO YA JEFF INGEKUWA NI HALI HALISI SI NDOTO!

tuendelee! viva Tanzania - tutaweza kwa falsafa ya bwana Miruko tuu!!

 
At Saturday 11 March 2006 at 15:46:00 GMT, Anonymous Anonymous said...

Msaki: naomba ufafanuzi kidogo kuhusu uliyoandika juu ya Banza Stone na Komba.

Umetaja sababu zilizofanya tukashindwa kuendesha mashirika yetu. Tatizo halikuwa eti sisi hatuwezi kuendesha hadi tuwape wazungu. Tatizo ni kuwa hatukuwa tukitumia kanuni za kuendesha mashirika hayo kiuchumi. Kanuni zipo na zinajulikana. Akina Nkya wanazifahamu fika. Sasa tuliposhindwa tukasema eti dawa ni kuwauzia watu wa nje. Kwani hawa watu wa nje wamechanjiwa dawa ya kuendesha mabenki, mashirika ya bima, migodi, n.k.? Kwani mbinu na kanuni wanazotumia kuwezesha mashirika yao kuimarika si tunazifahamu?

Sasa mimi nilikuwa sifahamu kuwa Tanzania tuna watwawala ambao ni watalii. Kumbe Tanzania sio nchi yao ndio maana wanakaa kwenye hoteli za kitalii. Huenda ndio maana akaunti zao ziko nje na hata hospitali zao ziko huko huko. Suti zao nazo wanazitoa huko. Serikali ya watalii ndani ya nchi yao.

 
At Saturday 11 March 2006 at 16:58:00 GMT, Blogger FOSEWERD Initiatives said...

Ndesanjo,

hii niliipata bombani kuwa Banza alipojiunga na TOT uongozi wa bendi ukampa mark 11 baloon ya kutesea, na nyumba kule Mbezi beach. lakini hawakumpa hati au umiliki wa hivyo vitu, bado vilikuwa mkononi mwa akina Komba........

siku alipotoka TOT akidhani kuwa vile alivyo navyo ni vyake akawa ameonja ladha ya mchele ulio na Chuya! wenyewe wakachukua kila kilicho chao! stori hizi nadhani kina michuzi watakuwa nazo kwa kina...

 
At Saturday 11 March 2006 at 21:52:00 GMT, Blogger boniphace said...

Nilidhani nilichangia mjadala huu zamani kumbe la! Pointi yangu ilikuwa juu ya ukubwa wa serikali na kuuza nyumba. Hivi ni wapi niliitumia hii pointi? Naona kauzee kanaanza kuingia hapa. Ok enewei kama Rais anaweza kuunda baraza bila kuwa na limitation tungoje matukio kama haya kuwa mengi tu. Na kubwa hivi Watanzania tumesalenda kabisa juu ya nyumba zetu kugawiwa kwa wakubwa. Yaani hakuna hata vuguvugu la kuamsha hapo ili kutokomeza huu wizi wa wazi ndani ya nchi yetu?

 
At Tuesday 14 March 2006 at 11:08:00 GMT, Blogger Indya Nkya said...

Sishangai hata kidogo nilitarajia hili

 
At Monday 17 May 2010 at 19:26:00 BST, Anonymous Anonymous said...

What's up

1gbps connection, 10 terabyte bandwidth powerful VPS for only 10.95!

http://www.hostomosto.com

I think it is real good

 
At Thursday 20 May 2010 at 01:00:00 BST, Anonymous Anonymous said...

What's up

It is my first time here. I just wanted to say hi!

 
At Sunday 23 May 2010 at 19:52:00 BST, Anonymous Anonymous said...

The Advanced York Hilarious High society is a privately owned corporation that offers the following servics:

•Regulations or Charter rent out a brave up jokesmith / facetious / artists comedy / comedy symbolize emissary / agents / agencies: If you are interested in booking or hiring apply up comics / comedians, we procure divers hundred on our roster and have access to upward of 5,000 comedians across the U.S. If you are interested in a uncomplicated corporate funster, a corporate comedy usher, church comedy, comedy enchanter, comedy hypnotist, comedy ventriloquist, college funster, comedy speakers, Nefarious jokesmith, female comic, Jewish Zany, Christian Comedian, or any other specialty jester, this is your settled comedy booking surrogate service.




[url=http://www.nyhystericalsociety.com]Hire a Comedian[/url]
[url=http://www.nyhystericalsociety.com]Hire a Corporate Comedian[/url]

 
At Friday 11 June 2010 at 09:24:00 BST, Anonymous Anonymous said...

This is yet another time Real Madrid has failed to advance to the quarterfinals; the team hasn’t made it since 2004. This year seemed to have incredible potential for Madrid, which was enjoying a winning streak and beginning to balance all the great new talent Coach Pellegrini purchased last summer. [url=http://www.pulsebet.com]real madrid fotos[/url] Real Madrid maintains their fight for the title of the Spanish League after beating Real Zaragoza in an anguishing match, 2-1 this past Saturday. Real Zaragoza, which played the second half with ten players due to the expulsion of the Italian midfielder, Matteo Contini, were close to making a draw. However, a great goal from Kaka at minute 82 gave the Meringues the victory and moved them closer to Barcelona in the top spot by one point. Barcelona also took a victory after beating Xerez 3-1, leading with 87 points.

A few short minutes after the opening of the game, in minute 5, the Meringues opened the score. A foul gave a free kick to Esteban Granero, who crossed a pass that was headed by Sergio Ramos, putting the scoreboard at 1-0. [url=http://www.pulsebet.com]karim benzema[/url] With the win, Real Madrid joins Barcelona at the top of the standings with 12 points. There is no doubt that this will be a very competitive season in La Liga.

 
At Wednesday 30 June 2010 at 11:05:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Hello Today i found something worng in an website, its not look like a human website..or page idk how to call it
can someone take a look and tell me if its a real?

here is the link:

http://www.kingofpirate.com/alien/

Thanks.

 
At Monday 19 July 2010 at 13:34:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Hey guys I'm not quite for certain if this is the right category to send this, but I am having some corporeal trouble learning how to meet a girl online I look over how to meet a girl online [url=http://howtomeetagirl.vox.com/library/post/how-to-meet-a-girl-at-a-bar-3268-men-already-have.html
how to meet a girl online [/url] that article, but it as a matter of fact didn't look as if to make alot of sense to me. Can someone pretty please assist me? It's so impregnable to gratify the girls of my dreams.

This magazine article wasn't easy to read

Suggestions on How to meet Girls in the Local mall

If you can be a single guy and aren't the ideal at choosing a great deal less meeting women and are wondering exactly where you can go to come across and come in contact with a young girl, then these ten sensible ideas on how to meet a chick with the local mall, need to come in mighty handy.

1 - Go towards meals court. Believe it or not, the foodstuff court may be the absolute preferred area during the mall to fulfill a girlfriend. Here's what you do. Pick a foods location and get in line for your meal. Even when one is in line, appear all-around the location wherever everybody is sitting down and eating. Check for any gal sitting down alone, as well as two women sitting together. When you might have your meal in hand, walk over to the place she or they may be sitting and ask if you could join them. If you are sincere and straightforward with them, your chances are rather high-quality.

2- Do some contemplating. Prior to you even give thought to planning into the shopping mall to meet a toddler, sit your self down and do some critical pondering. Look at how you could match a young girl and what you could possibly say to her if you are usually productive. Look at which parts of this shopping mall you'll check out. Also, you're planning to must obtain some thing though there, what do you would like? As a final point, look into what meeting a woman in the public position entails. Unquestionably you are going to ought to seem to get a wedding ring previously speaking into a young lady, and you may really have to check out if it's wiser to speak with a girlfriend alone or an individual who's with other people. At long last, you can expect to have to get realistic about your own age plus the ages associated with the woman you choose to fulfill. As in, you may ought to tell on your own to be reasonable and don't check out to meet girls which can be significantly younger or older than you're, or that look out of one's league.



3 - Request aid. Once you will be eventually with the shopping mall, a person for this tactics to satisfy ladies is by asking them for support. Women realize that males have no idea what they may be carrying out once they are shopping, so asking for assist won't appear this kind of a ridiculous strategy. Ask for assist in picking out a jacket for yourself for example. Undertaking so let's the woman know that you are single. If she agrees to help you, inquire her other questions as you grab numerous jackets to try out on.

Hey guys I'm not sure if this is the best place to mail this, but I am having some corporeal strife learning how to meet a girl online I read how to meet a girl online [url=http://howtomeetagirl.net/if-you-ever-meet-a-girl-like-that-sillykidssong-original/
how to meet a girl online [/url] that internet site, but it as a matter of fact didn't appear to make alot of sanity to me. Can someone hold it in their heart to serve me? It's so impregnable to gratify the chick of my dreams.

 
At Friday 13 August 2010 at 19:03:00 BST, Anonymous Anonymous said...

hi everybody


just signed up and wanted to say hello while I read through the posts


hopefully this is just what im looking for, looks like i have a lot to read.

 
At Wednesday 18 August 2010 at 00:57:00 BST, Anonymous Anonymous said...

ShoppingBlogging.com - [url=http://www.shoppingblogging.com]Online Shopping[/url] for Christmas

It appears every single calendar year persons begin searching previously and before for Christmas. Final 12 many weeks I began on the starting of October and had all of the exposes wrapped from the end of this month. This 12 several weeks I started out even sooner to carry benefit of the couple of outlets providing mid 12 several weeks revenue.

Visit Now : Shopping Online

Why Store Previously

Purchasing before has two major benefits - acquiring more suitable offers and avoiding the vacation rush. However it has its drawbacks as well. A significant range of toy and game producers particularly, only launch their most up-to-date merchandise really near towards the holidays. This suggests that if you're planning to store within the center with the 12 weeks, you won't have the ability to obtain the newest goods over the marketplace. One way to acquire all over this would be to pre-order. In reality pre-ordering merchandise may even fetch you discount rates and totally free presents.
[url=http://www.shoppingblogging.com]Christmas Shopping[/url]
But in a significant range of instances, should you maintain your eyes open, you can actually get much better discounts in the course of the slow or off season, retail smart. Numerous mobile phone producers launch their most current versions throughout the center within the 12 weeks. This indicates that previous types is going to be likely at rock bottom rates about two weeks prior to the launch in the replacement.

Some folks carry hunting previously for the severe but hunting proper following the holidays towards the future holidays. Post vacation revenue are at times even much better than pre-holiday revenue as departmental shops attempt to obvious excess stock by providing ridiculous savings.

Needful Adjustments

Moving up Christmas purchasing a number of many weeks will take a bit adjustment, spending budget sensible, specially throughout the earliest calendar year within the timetable alter. However it doesn't carry very much to obtain used to it. Its just a matter of maintaining to some set routine of placing slightly money apart for exposes.

The Gift Conundrum

Apart from producing purchases while in product sales, ordering in bulk can conserve you a lot of money. Its often very good to break recipients into a number of groups initial - near loved ones, loved ones, near pals, acquaintances, colleagues - you receive the concept. Performing so permits you to organize your acquiring far better. That mentioned I only have two recipient groups - instant household and other people.

Obviously you'll desire to purchase a whole lot more individual and thoughtful presents to the individuals closer for you. But for a whole lot more generic presents, I recommend pack browsing, that is just like pack hunting, only nicer.

Pack looking right here indicates gathering a few of acquaintances with comparable buying lists after which purchasing in bulk to carry benefit of economies of scale. I usually pack store with two other citizens with regards to generic presents. You may come across that you can actually get extremely good presents like wine glasses at seriously excellent rates whenever you pack store.

 
At Friday 20 August 2010 at 11:53:00 BST, Anonymous Anonymous said...

Hey People

I wanted to share with you a AMAZING site I just came across teaching [url=http://www.kravmagabootcamp.com][b]Krav Maga[/b][/url] Online If you guys have seen the Tv Show called Fight Quest you would have seen their chief instructor Ran Nakash there featured on their [url=http://www.kravmagabootcamp.com][b]Krav Maga[/b][/url] episode. Anyways, let me know what you think. Is training via the internet something you would do?


all the best

Steve

 

Post a Comment

<< Home